Thursday, December 30, 2010

2010 Mwaka wa Faraja kwa UPENDO NKONE

       Muimbaji wa Injili Upendo Nkone mwaka huu wa 2010 umekua wa mafanikio makubwa kwake kwa kua amefanikiwa kukamilisha mambo makuu mawili,kwanza mnamo tarehe17 October 2010 alifanikiwa kufunga ndoa na Mchungaji JOHN MBEYELA ambaye pia ni mjane mwenye watoto watatu, ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Naioth kwa Mchungaji MWASOTA.

Jambo la pili kwake ni kufanikiwa kuzindua albam yake inayofanya vizuri sokoni na katika vyombo vya habari iitwayo zipo faida.

Muimbaji huyu ambaye ameishi maisha ya ujane kwa miaka 9, ana jumla ya album tatu ambazo ni Mungu Baba, Hapa Nilipo na Zipo faida.Hakika MUNGU wetu ni EBENEZER.

2 comments:

  1. hellow sister may gad bless you.
    ABDUEL KELAKELA

    ReplyDelete
  2. YOU PEOPLE OF GOD DO NOT GET TIRED OF DOING THE WORK OF GOD BECAUSE FOR SURE GOD WILL NEVER ABOUND ON YOU. GOD HAS SEEN YOU SO WHEN THE TIME COMES,YOU WILL BE HONORED BY GOD.
    MAY GOD BLESS YOU ALL

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...