Sunday, September 18, 2011

BABA - Sonnie Badu


Sonnie Badu
Sonnie Badu ni mtumishi wa MUNGU na Raia wa nchi ya Ghana, kwa ambao hawamfahamu, Sonnie Badu ndiye Mwanamuziki Bora wa Nyimbo za Injili Barani Afrika kwa mwaka 2010/2011 nafasi ambayo kwa miaka miwili mfululizo ilikuwa ikishikiliwa na Uche(DOUBLE DOUBLE). Takwimu hizi ni kwa Mujibu wa  Tuzo za Muziki Barani Afrika zijulikanazo kama African Gospel Music Awards zilizofanyika miezi kadhaa iliyopita.

Sonnie ambaye ni WORSHIPER, Moja kati ya kazi zake mahili ni pamoja na wimbo wake uitwao BABA uliomtangaza sehemu kubwa ndani na nje ya Afrika. Hosanna Inc imekuletea wimbo huo ili umwabudu Mungu na pia ujifunze kuanzia uandishi, sean zilivyochezwa kwa umahili pamoja na ubora wa video yenyewe.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...