Saturday, September 3, 2011

Friends On Friday Episode III Kiasili Zaidi


Friends on Friday ni usiku ambao watu mbalimbali waliookoka hukutana pamoja na kufurahi kupitia Live Band ambazo ni za Gospel ,Discussions pamoja na kupata chakula na Vinywaji.Wengi tumekuwa tukisikia au kuambiwa na watu uzuri wa Friends on Friday lakini niwazi waliofika usiku wa Traditional katika Hotel ya Tamal walijionea jinsi ambavyo Burudani uchukua asilimia 100 wakati huwo ukicheka na kufurai pale Mc wa Show Sam a.k.a Papa wa Sebene anavyo mwaga Comed katika usiku huwo.

Lakini usiku kama usiku wa Friends on Friday iliutimie nilazima kuwe na mtupio ambao uvutia nakila anae fika ukubaliana nami.Safari hii kilikuwa kitu cha asili madhari ya ukumbi na walio fika walivalia kiasili.

Ukiachilia mbali Mitupio na uzuri wa usiku huwo Friends on Friday umualika mtu mashuuri ambae amepiga atua katika nyanja mbalimbali.
Safari hii alikuwa Mr.Costantine Magavilla ambaye ni mfanyabiashara,mwezeshaji kwenye makongamano mbalimbali,na pia ni Mtunzi wa kitabu kiitwacho LIFE and YOU.

Aggy akiwa na Sam Papaa ambaye alikuwa ndio Mc wa shughuli nzima

Mc wa Shughuli Sam Papaa akiwa na Mwanamuziki mahiri wa nyimbo za Kuabudu nchini John Lissu ndani ya FoF III

Mmoja wa waimbaji wa siku Hiyo Pastor wambura (Mutoto ya Muchungaji) akiwa ukumbini hapo

Anthony Luvanda akifanya Mahojiano na Mgeni Rasmi Mr Constantine Magavilla

Wadau Addo November, Seth, na Mbarikiwa Sanga wakiwa ndani ya FoF III

Kulia ni Bro Jimmy Temu ambaye ni mtangazaji wa Praise Power Radio na Mcheza Filamu akiwa kiasili zaidi

Mch Wambura katikati akiwa na Mpello kushoto wakicheza kwa pamoja

Furaha Mwanzo Mwisho

Sam Yona akiimba Huku Prosper akimshikia Mic, Sam ni mmoja kati ya wapiga gitaa maarufu nchini na unaweza kuona ufanisi wake kwenye VIDEO ya LIVE CONCERT ya John Lissu.Humo ndani alikamata Lead Guitar

Picha zote kwa Hisani ya Uncle Jimmy

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...