Wednesday, September 7, 2011

Kekeletso Phoofolo(Keke) kuzindua cd album Semptember 11


Kekeletso Phoofolo(Keke)
Mwanamuziki nguli wa nyimbo za injili nchini Afrika ya kusini aitwaye Kekeletso Phoofolo maarufu kama (Keke), tarehe 11 mwezi huu anatarajia kuzindua cd album iitwayo SPIRIT UNLIMITED. Keke pamoja na kundi lake la kusifu na kuabudu liitwalo Galax of Stars Choir wanatoa .Album hii ya Spiritual unlimited baada ya album zake kadhaa zikiwemo Living Testimony pamoja na ile iliyompatia umaarufu yeye na kundi lake iitwayo Holly of Hollies.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...