Monday, September 19, 2011

Next Level watoa Dhabihu za Sifa


Kanisa la Upanga City Christian Centre maarufu (CCC) kwa Muda mrefu limekuwa likiandaa matamasha mengi yenye ubora wa hali ya juu, Jumapili iliyopita CCC kulifanyika Tamasha la kusifu na kuabudu lililoongozwa na kundi la kusifu na kuabudu lililopo kanisani hapo liitwalo NEXT LEVEL.

Kundi hilo  liliongoza umati uliokuwepo katika kupeleka SIFA NA HESHIMA kwa JEHOVA. Tamasha hilo lililokuwa likirekodiwa LIVE, lilihusisha  vikundi mbalimbali vikiwemo Glorious Celebration, Holly of Hollies, John Lisu. na vingine Vingi.

Hili ni moja kati ya Matamasha yaliyoandaliwa katika hadhi ya kimataifa na kwa kiasi fulani limetoa picha ya mahali ambapo Uimbaji wa nyimbo za Mungu unakoelekea kwa siku za usoni.

NEXT LEVEL Wakiwa jukwaani

Next Level wakimtukuza Mungu siku ya Jana 
Shekinah Dancers wakimtukuza Mungu
Utukufu Kwa Mungu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...