Monday, September 19, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii: Rais Obama Akifanyiwa Maombi
Pichani wanaonekana Wachungaji mbalimbali wa marekani wenye asili ya Afrika wakimfanyia Maombi Rais wa Marekani Mh Baraka Obama. Ni mara chahce sana kukuta kiogozi wa nchi akiwaita watumishi wa Mungu na kuwaomba wamuombee au kuiombea Serikali anayoiongoza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...