Monday, September 26, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii:Global Leadership Summit 2010
Pichani ni sehemu ya umati wa watumishi wa Mungu kutoka sehemu mbalimbali Duniani waliohudhuria Kongamano maalumu llinalohusu masuala ya  uongozi liitwayo GLOBAL LEADERSHIP SUMMIT. Mch Peter Mitimingi ndiye alikuwa mratibu wa Kongamano hili. Kongamano hili liliyofanyika Mwaka 2010 katika kanisa la Upanga City Christian Centre{ccc} lililoko Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...