Friday, October 14, 2011

Dada Yake Rose Mhando Afariki Dunia


Rose Mhando
Dada wa Muimbaji Mahiri wa Muziki wa Injili nchini Rose Mhando aitwaye Salma Muhando amefariki dunia usiku wa kuamkia jana tar 13/10/2011.Taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwao Mkoani Tanga katika kitongoji cha Kilindi.

Ikumbukwe kuwa Sehemu kubwa ya Familia ya Rose Mhando ni waislamu lakini Kwa Neema ya Mungu leo Rose anamtangaza Kristo.

Hosanna Inc tunaamini pamoja na Hili kutokea “All things Works together for Good”. Mungu anabaki kuwa Mungu kwa kuwa hata hili amelifanya kwa Utukufu wake.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...