Tuesday, October 11, 2011

Picha Yetu:Sower Group wakiwa Australia

Pichani ni kundi Sowers likiwa nchini Australia likiongoza Sifa na kuabudu katika moja ya makongamano ya Sifa na Kuabudu wanayoyafanya nchini Humo. Mwanzoni mwa mwaka huu wa 2011 Sowers Group waliondoka nchini kuelekea nchini humo kwa ajili ya kufanya Huduma.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...