Tuesday, November 22, 2011

Joyous Celebration kurekodi album yao ya 16 Tarehe 15 - dec - 2011


Joyous Cerebration on stage
 
The Most leading gospel Group in AFRICA  Joyous "Cerebration", mnamo tarehe 15-Dec-2011 wanatarajia kurekodi Live VIDEO Album yao mpya. Akiongea na waanishi wa habari mmoja kati ya waanzilishi na kiongozi wa kundi hilo Lindelani Mkhize amesema katika album yao hiyo mpya wanatarajia kupanda jukwaani pamoja na members wapya wa kundi hilo waliopatikana baada ya kufanyiwa usaili uliofanyika sehemu mbalimbali nchini humo.

Lindelani Mkhize

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...