Thursday, November 3, 2011

Jehova Yu Hai Tour Now In Mwanza




Mwanamuziki wa Injili John Lissu Kutoka Dar es salaam atakuwa akifanya Tamasha la Muziki wa Injili jijini Mwanza.katika Tamasha hilo lililopewa jina la JEHOVA YU HAI TOUR,Lissu ataambatana na Timu yake ya waimbaji pamoja na wapiga vyombo.Tamasha hili litafanyika Jumapili Ijayo tar 6 Nov katika ukumbi wa  GOLD CREST Hotel Kiingilio na ni 10,000/=.

kwa wanafunzi wa vyuoni Jijini Mwanza kiingilio Ni 5000 endapo watanunua Tiketi Mapema kupitia wawakilishi wa Tamasha Hili katika chuo husika. Kwa walioko chuo cha SAUTwamuone Barnabas Shija 0717642263,Bugando wamuone Daniel kasoli(Mkama) 07919-151925,na CBE wamuone Victor 0713754388 ili kujipatia tiket kwa bei hiyo.Stay Blessed Tukutane GOLD CREST

John Lisu na Mkewe Nelly Lissu wakipiga magoti kuombewa wakati wa uzinduzi wa Jehova Yu Hai Tour katika ukumbi wa Diamond Jubelee jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...