Friday, December 16, 2011

Ibada ya Kuiombea Tanzania nchini Uingereza katika Miaka 50 Ya UhuruTarehe 10 Dec Mwaka huu watanzania waliookoka nchini uingereza walikutana nchini humo kwa lengo la kusherehekea Miaka 50 ya Uhuru pamoja na kufanya maombi kwa ajili ya nchi Yetu. Katika Ibada hiyo iliyoambatana na vyakula vya kitanzania ilikuwa Baraka kwa kila aliyefika ibadani hapo.

Watumishi wa Mungu wakiwa ibadani kuiombea Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru
Maombi yakiendelea
Waombaji katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...