Monday, December 12, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii: Maombi ya Kuombea Mvua Inyeshe nchini Tanzania


Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News For All akiimwagia maji ramani ya Tanzania kama ishara ya imani kuashiria kuwa mvua itanyesha nchi nzima mara baada ya maombi. Katika Maombi hayo watumishi wa Mungu walimsihi Mungu alete Mvua nchini, maombi hayo yalifanyika Mwaka huu wa 2011  jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...