tag:blogger.com,1999:blog-8964283918602331814.post4576531099148966252..comments2024-02-26T09:39:31.451+03:00Comments on Hosanna Inc: Madhabahu ya Kanisa la Living Water Kawe yatumika kwa ajili ya kuigizia Filamu ya KikristoHosanna Inchttp://www.blogger.com/profile/14493741893984759697noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8964283918602331814.post-32083892044192771612013-07-17T10:46:21.281+03:002013-07-17T10:46:21.281+03:00Mungu atusaidie na tufunguke,mbona viwanja vya mip...Mungu atusaidie na tufunguke,mbona viwanja vya mipira vinatumika kwa mambo kibao na wakati mwingine vinatumika pia kwa ajili ya ibada na watu wanaokolewa na wanafunguliwa kwanini wasishangae kwanza kuhusu hilo, Biblia inasema Mungu hakai kwenye jengo Mungu anaishi ndani yako ndio maana ametuita sisi ni hekalu, popote unaweza kumfanyia Mungu ibada na nguvu ya Mungu ikawa kubwa. nafikiri ukiwa mtupi ndani lazima utafute kitu cha kujifunikia,.kama neno linavyosema kwamba watu wangu wanapotea kwa kutokujua maandiko na uweza wa MunguAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06838745884103319008noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8964283918602331814.post-25136296208245565622012-03-22T13:03:50.907+03:002012-03-22T13:03:50.907+03:00Ni vizuri kwa sasa wakristo na wakristu tukabadili...Ni vizuri kwa sasa wakristo na wakristu tukabadilisha mtazamo wetu juu ya hili. Ni muhimu sana kwa wacheza filamu nchini wakafikisha ujumbe wao kwa kutumia mazingira halisi kuliko kutumia mazingira artificial.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8964283918602331814.post-7170483857562234922012-03-19T22:13:55.268+03:002012-03-19T22:13:55.268+03:00Yeah its true ni Filamu ya Zamani, kikubwa hapa ut...Yeah its true ni Filamu ya Zamani, kikubwa hapa utagundua kuwa ni mtazamo wa watu kwa kuwa kitendo cha madhabahu kutumika kuigizia Filamu yenye mlengo wa kuujenga ufalme wa Mungu kwa wengi ni kigeni.Hosanna Inchttps://www.blogger.com/profile/14493741893984759697noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8964283918602331814.post-59377155061481514492012-03-19T15:03:33.575+03:002012-03-19T15:03:33.575+03:00Kwanza hiyo filamu ni ya zamani sana Mkuu...
Pili ...Kwanza hiyo filamu ni ya zamani sana Mkuu...<br />Pili hebu fuatilia, nadhani ni stori ya Ndegi mwenyewe ileAnonymousnoreply@blogger.com