Home

Tuesday, January 25, 2011

FLORA MBASHA AZINDUA STUDIO YAKE

Flora Mbasha kulia akiwa na Mumewe Emmanuel Mbasha
                                                                                
Mwanamuziki wa nyimbo za injiri nchini Tanzania Flora Mbasha,amezindua studio yake ya muziki yenye vifaa vya kisasa.Studio hiyo ilioko nyumbani kwake Tabata jijini Dar-es-salaam ni moja kati ya studio chache hapa nchini yenye vyombo mahiri kwa ajili ya kurekodia.Uzinduzi huo ulihudhuliwa na watu mbalimbali mashuhuri akiwemo Mh Edward Lowasa pamoja na Kapteni John Komba

Baadhi ya vifaa vilivyomo ndani ya studio hiyo

Mgeni rasmi Mh Lowasa akitoa nasaha kabla ya kuzindua studio hiyo

Kapten Komba wa pili kushoto pamoja na Mh Lowasa 

No comments:

Post a Comment