Home

Friday, February 4, 2011

ENEZA INJILI KWA KUCHANGIA EBENEZER TELEVISION

Mama Getrude Rwakatare kushoto, Mbeba maono ya Ebenezer Television
                                                                                       
Kanisa la Mikocheni B Assemblies of GOD lililo chini ya Mch Mama Getrude Rwakatare, linazidi kuwahimiza umma wa wa Tanzania kuchangia mpango wa kuwepo Television ya kanisa hilo itakayoitwa EBENEZER TELEVISION.Kuchangia kwa sms tuma neno Ebenezer kwenda namba 15551 na utakatwa Sh 300,au tuma kwenda namba 15567 utakua umechangia Sh 1200.Pia unaweza changia kwa M-PESA kupitia namba 0769-785353,au Tigo Pesa kwa namba 0652785353.Waweza pia changia kwa kuweka mchango wako katika Acc ya CRDB No 01j10103499.Hosanna Inc tunaamini kua kuipeleka injili kwa watanzania wenzetu kutafanikishwa kwanza na watanzania wenyewe.

No comments:

Post a Comment