Home

Thursday, March 10, 2011

KIPENGELE KIPYA NDANI YA HOSANNA INC KIITWACHO DEVINE DIRECTION


Upendo wetu kwa Kristo ndio hutupeleka kutafuta majibu ya maswali yetu kwake
                                                                                
Kuanzia mwezi huu Hosanna Inc tutakua na segment mpya ijulikanayo kama Devine direction. Ndani ya Devine Direction kutakua na mada au topic ambazo ziunaonekana kuleta utata  au mkanganyiko ndani ya kanisa, hivyo kupitia mtandao huu tutakua tukikusanya maoni juu ya mada hizo toka watumishi wa Mungu mbalimbali na mwisho kupata UELEKEO WA KIMUNGU juu ya jambo husika. Mwanzoni mwa kila mwezi tutatambulisha mada ya mwezi na tutaanza kupokea maoni mara baada ya mada kutambulishwa.. Hosanna Inc inawakaribisha watu wote kuchangia maoni kwa njia zifuatazo.



Email :  victornivox@yahoo.com

Kupitia Facebook : Hosanna Inc-Tanzania

Ujumbe kupitia Simu: +255713754388

                                       +255752917744

No comments:

Post a Comment