Home

Friday, March 4, 2011

PRAISE AND WORSHIP CONCERT AT SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY


                                                                                                                             
Jumuiya ya wanafunzi waliiokoka katika mkoa wa Mwanza(Rsec), wameandaa Tamasha kubwa la kusifu na kuabudu litakalofanyika ijumaa hii ya tareh 4/3/2011 kuanzia saa 2:00 usiku-9:00 usiku katika viwanja vya Shule Msingi Nyamalango iliyoko Pembezoni mwa chuo cha Saint Augustine university{SAUT}.Tamasha hili litahusisha jumla vyuo saba vikiwemo Saut,Bugando Unv,Butimba TTC,na CBE mza. Hili ni Tamasha la pili la kusifu na kuabudi litakalovihusisha vyuo vyote vya Mwanza na mmandalizi yake yanaendelea vizuri kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Rsec Mr Goodluck Kyala.
Tamasha la kwanza la kusifu na kuabudu lililoandaliwa na Tafes mkoa na kufanyika uwanja wa CCM Kirumba Feb 2009. Hii ni Praise and Worship Team iliyohudumu siku hiyo iliyojumuisha vyuo vyote vya jijini Mwanza
                                                    

No comments:

Post a Comment