Home

Tuesday, March 15, 2011

TUZO ZA MUZIKI WA INJILI TANZANIA 2011 ZAFANA

Jumapili ya jana ya tareh 13/03/2011  katika Ukumbi wa Diamond jubilee kulifanyika utoaji wa tuzo za muziki wa injili Tanzania. Tuzo hizo kwa mwaka huu zimedhaminiwa na mradi wa kupambana na malelia wa Zinduka. Utoaji wa Tuzo hizo ulienda sambamba na vikundi mbali mbali kumuimbia MUNGU siku hiyo.Yafuayayo ni matukio mbalimbali yaliyojili ukumbini hapo.
Kundi la Glorious Band likimsifu Mungu
Mc wa shughuli hiyo Bro Anthony Luvanda akiongoza jahazi
Ephraim Kameta akiwa na tuzo aliyozawadiwa kama Mtayarishaji(Producer) bora  wa nyimbo za Injili nchini kwa mwaka 2011
Wabunge wa viti maalum kupitia ccm Vicky kamata na Mery Mwanjelwa wakiteta jambo ukumbini hapo
Martha Mwaipaja wa kwanza kulia akiimba ukumbini  hapo
Balozi wa Marelia nchini Msanii Diamond akifuatilia tuzo hizo
Sehemu ya umati ikifuatilia tuzo hizo
Martha Mwaipaja akiongea na waandishi wa Habari Millard Ayo toka Clouds Tv na Sauda Mwilima wa Star Tv mara baada ya kupokea tuzo ya mwanamuziki bora wa kike anayeinukia




Sifa na utukufu ni kwa Mungu pekee


No comments:

Post a Comment