Home

Saturday, April 16, 2011

KONGAMANO LA MAOMBI KITAIFA KUFANYIKA DODOMA

Mwl Christopher Mwakasege akifanya maombezi kwa watu wenye shida mbalimbali
Huduma ya MANA iliyo chini ya Mwl C.Mwakasege inapenda kukutangazia kuwepo kwa Kongamano la maombi litakalofanyika katikaa chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) kuanzia tarehe 12 Julai mapaka tarehe 15 Julai 2011.Wahusika ni kila Mkristo muombaji kutoka kila kanisa, aidha kila mshiriki anaombwa ajigharamie nauli ya kwenda na kurudi pamoja na malazi kwa kipindi chote atakapokuwa katika kongamano. Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba zifuatazo.+255-754607445, +255-784382439 na +255-713544205

No comments:

Post a Comment