Home

Friday, May 27, 2011

Kongamano la Wanaume wa Kanisa la TAG

Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG Dr Barnabas Mtokambali

Kanisa la Tanzania Assemblies of God linapenda kuwaalika WANAUME wote ambao ni washirika wa TAG katika Kongamano kubwa la Wanaume litakalofanyika Dodoma katika chuo cha Ualimu Capital kuanzia Tarehe 4-8 July 2011.Gharama ya kila Mshiriki ni 20,000/= .Haya ni maandalizi ya kuanzisha idara ya Wanaume ndani ya TAG.Idara hii ya wanaume inaanzishwa mara baada ya idaya nyingine kuonekana kufanya vizuri zikiwemo idara za Vijana, Wamama, na Watoto.

No comments:

Post a Comment