Home

Monday, May 9, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii

Kusifu kunawapasa wanyofu wa Moyo, watumishi hawa pichani wameamua kumfanyia Mungu IBADA, na Mungu kawatoa katika hali ya kusali chini ya mti, na mahali pa wazi huku jua na mvua vikiambatana nao, wakamjengea Mungu mahali pa Kumfanyia Ibada.


Hawakuishia hapo tu, wakatafuta na vifaa vya kutumia kumwabudu kwa kadri ya Nguvu zao wakapata Ngoma. 
Tunapokuwa waaminifu katika hatua Tuliopo, Mungu hutupeleka katika viwango vingine vikubwa zaidi kwa ajili ya utukufu wake.

No comments:

Post a Comment