Home

Saturday, May 21, 2011

Uvumi wa judgement Day

Harold Camping

Harold Camping ni mmoja kati ya viongozi wa Group lililosambaza Habari Dunia nzima kuwa tarehe 21/may/2011 ndio siku ambayo Mungu ataihukumu dunia. Kiini cha kampeni hiyo ilikuwa ni kuliandaa kanisa kama alivyofanya NUHU, kwa mujibu wa walichokuwa wakikiamini ni kuwa ndio siku ambayo Kristo atalinyakuwa kanisa.Hatimaye tarehe hiyo imefika bila lolote kutokea. Kwa msomaji mzuri wa Biblia atakuwa amejifunza Mengi juu ya hili, na kwa kadri ambavyo siku zinavyozidi kwenda na namna ambavyo kila mtu anaitafsiri Biblia kama aonavyo yeye, kanisa halina budi kujipanga vizuri kwa kuwa wengi watakuja na kutangaza mambo mengi zaidi ya Hili.

Mabango ya namna hii yalisambazwa sehemu mbalimbali Duniani kote

 

No comments:

Post a Comment