Home

Monday, June 6, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii


Pichani ni Baadhi ya watumishi wa Mungu katika Taifa la Marekani wakiwa ikulu ya nchi hiyo (white House) wakipata kifungua Kinywa. Rais Barak Obama wa Marekani aliwaalika baadhi ya watumishi wa Mungu nchini humo siku chache kabla ya sikukuu ya Pasaka mwaka huu wa 2011 na kupata kifungua kinywa ambacho kilifuatiwa na Maombi. Ni nadra kukuta viongozi wakubwa wakiwaita watumishi wa Mungu na kukaa nao japo kwa Muda mchache na kubadilishana mawazo.Tukio hilo lilipewa jina la Easter Breakfast prayer na uongozi wa ikulu ya nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment