Home

Monday, June 13, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii

Pichani anaonekana Mtumishi wa Mungu Mchungaji Anthony Lusekelo akisema jambo mara baada ya kupewa fursa ya kufanya Hivyo wakati wa Mazishi ya Sheikh Yahaya jijini Dar es salaam. Pamoja na tofauti zetu za kidini na ndugu zetu waislamu, lakini kwenye matukio kama haya ni vizuri kukaa pamoja na kushirikiana kwa Upendo.

No comments:

Post a Comment