Home

Wednesday, July 20, 2011

Cheti cha ushindi wa Hosanna Inc kwenye mashindano ya Blogs

Kwa Mara nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiwezesha Hosanna Inc kushika nafasi ya kwanza katika katika kategori ya Blog Bora ya Dini. Pia tunawashkuru wote waliotupigia kura katika Mashindano hayo  yaliyofahamika kama Tanzania Blogs award yalimalizika hivi karibuni nchini Tanzania.  

Chini hapa ni cheti ambacho blog hii imekabidhiwa kufuatia ushindi huo.

 

No comments:

Post a Comment