Home

Tuesday, July 12, 2011

Mwl Christopher Mwakasege kuanza semina Jumapili ijayo jijini Mwanza.


Mwl Christopher Mwakasege
Mwalimu C. Mwakasege toka Arusha, jumapili ijayo anatarajia kuanza semina ya neno la Mungu jijini Mwanza.Semina hiyo inatarajia kuchukua takribani wiki moja itaanza rasmi tarehe 19/07/2011 na kumalizika tarehe 23/07/2011.
Semina hii ni moja kati ya semina ambazo huendeshwa kila Mwaka na mtumishi huyo wa Mungu katika jiji la Mwanza.

No comments:

Post a Comment