Home

Monday, July 18, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii > Siku ya ndoa ya John Lisu



Pichani anaonekana Mwanamuziki Mahiri wa nyimbo za injili nchini Tanzania aitwaye John Lisu akiwa na mkewe Bi Nelly Lisu ambaye ni mhitimu wa chuo kikuu cha Tumaini alikochukua masomo ya sheria.

Hapo ni wakati wa harusi yao iliyofanyika mwaka jana jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu.

No comments:

Post a Comment