Home

Thursday, August 18, 2011

Mch Daniel Kulola kufanya semina jijini Copenhagen


Mchungaji Daniel Kulola pamoja na Mkewe waliondoka nchini Tanzania 15 August 2011kuelekea Denmark kwa ajili ya Semina ya Neno la Mungu iliyopewa jina la Copenhagen Christian Annual Awakening Conference . Katika kongamano hilo la siku mbili  litakaloanza jumamosi ya Tarehe 26 na kumalizika jumapili tarehe 28/08/2011 ambapo Mch Kulola pamoja na watumishi wengine wawili watahudumu.
Baada ya kongamano hilo mtumishi Kulola anatarajia kuelekea nchini Norway na Sweden kwa ajili ya kufanya huduma ya Neno la Mungu. Kwa habari zaidi tembelea  www.ccaac.dk

No comments:

Post a Comment