Home

Monday, August 29, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii: Mchungaji Mwakiborwa akiwa na Mwanae Ngwandumi



Pichani Askofu Bruno Mwakoborwa  wa kanisa la EAGT Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es salaam, akitoa shukrani mbele ya kanisa  akiwa na mkewe pamoja na mtoto wao wa kike waliompa jina la Ngwandumi. Mungu aliwapa mtoto huyu baada ya ahadi waliyopokea toka kwa Mungu kuwa atawapatia mtoto tangu Tarehe 26/12/1990 na Mungu akawajibu kwa kuwapa mtoto huyo Mnamo tarehe 31/05/2011. Mungu hutujibu kwa wakati wake tusipozimia ROHO.

1 comment:

  1. Amebarikiwa ajaje ndani ya kristo. bwana abariki mtoto wa mchungaji sana

    ReplyDelete