Home

Monday, August 22, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii : Miriamu Lukindo akitoa Msaada kwa watoto wenye uhitaji



Pichani anaonekana mwanamuziki wa Nyimbo za Injili nchini Miriamu Lukindo Mauki akitoa msaada wa chakula kwa kituo cha watoto wenye mtindio wa Ubongo kilichoko jijini Dar es salaam. Ni mara chache kukuta waimbaji wa nyimbo za Injili nchini wakijihusisha na maisha ya watu wenye uhitaji.

No comments:

Post a Comment