Home

Wednesday, August 3, 2011

Real Amazing Worship from Congo





Kuna vitu ambavyo Mungu huwapa watu wake kwa namna ambayo huwezi kuvikuta kwa watu wengine, kwa muda Mrefu sasa tumezoea kuwaona watu kutoka kongo Kinshasa wakiimba sana nyimbo zenye mahadhi ya Lingala maarufu kama Sebene. 

Video hii inashangaza na kutukumbusha kuwa Mungu anayo hazina ambayo imejitosheleza kupita Fahamu Zetu.

Hawa watumishi wameabudu kwa namna ya tofauti, na standard ya Worshiping ni ya Juu mno pamoja na mpangilio mzima wa Concert yenyewe. Kuna namna ambavyo kama kanisa tunaweza kujifunza kwa hawa wenzetu kwa utukufu wa Mungu.

No comments:

Post a Comment