Home

Tuesday, August 2, 2011

Tamasha la John Lisu lasubiriwa kwa Hamu



John Lisu  muimbaji maarufu wa nyimbo za kusifu na kuabudu, atakua na tamasha kubwa siku ya jumapili, tarehe 4/09/2011.
Ataungana na Pastor Safari wa DPC, Rivers of Life, Upendo Nkone, Jackson Benty, Martha Mwaipaja, Maxmillian Machumu na Tehillah group. Hawa wote wataimba Live.
Tiketi:
Shs. 10,000 – VIP
Shs. 5,000 - Wakubwa (kawaida)
Shs. 3,000 - Watoto


Kwa maelezo zaidi na booking za tiketi  wasiliana na
0713  240397, 0784 279369 na 0712 207717

No comments:

Post a Comment