Home

Saturday, August 20, 2011

Usiku wa Glorious Celebration Wafana


Ile Bendi maarufu ya Muziki wa injili nchini Tanzania iitwayo Glorious Celabration jana ijumaa ilifanikiwa kuigusa mioto ya wengi kupitia nyimbo zao za Injili katika usiku maalumu uliofanyika katika Hotel ya Atrium iliyoko Sinza jijini Dar es salaam.

Bendi hiyo iliyoko chini ya Kanisa la Glorious Church linaloongozwa na Mch Mwakan`gata, iliwajumuisha watu mbalimbali kutoka pande zote za jiji la Dar es salaam kwa lengo la kukaa pamoja(kimtoko) kupata chakula na kumsifu Mungu.

Crew ya Glorious Celabration ikiwa jukwaani ikimsifu Mungu

Glorious usiku wa jana pale Atrium Hotel

Alwatan Sam Pa-Paaah kushoto akiwa na mdau pamoja na Mchungaji mtarajiwa Masanja Mkandamizaji wakipoz wakati vijana wa Glorious wakiimba usiku wa jana

Uncle jimmy ambaye ni Blogger, Radio Presenter wa Praise Power na Movie Actor akichukua Pix, tunauamini sana mkono wa huyu mdau katika kupiga picha 

No comments:

Post a Comment