Home

Sunday, September 18, 2011

Gospel Blog ya Esowane yabadili jina(Title)


Blog mpya ya kikristo yenye link ya www.esowane.blogspot.com ,Kuanzia leo tarehe 14/9/2011, Blog hiyo imebadilishwa Jina(Blog tittle) kutoka "Emmanuel Sowane" na kuwa "HALLELUYAH GOSPEL OUTREACH". 



Hii ni kutokana na Mafanikio ambayo Blog hiyo imeyapata kutoka kumilikiwa na Mtu mmoja, na sasa kumilikiwa na kundi ambalo linaundwa na Vijana waliompokea Yesu, na ambao wamejitoa kueneza neno la Mungu Duniani kote, kupitia kampeni iliyopewa jina la "Halleluyah Gospel Outreach". 

Kundi hili halikochini ya Kanisa lolote, wala dhehebu lolote. SAMAHANI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA KUTOKANA NA KUBADILISWA KWA JINA LA BLOG HII. Asante kwa kutufanikisha, na Mungu akubariki sana.
"TOGETHER, WE BRING THE WORLD TO JESUS"

ZINGATIA;
URL/Link ya Blog hii itaendelea kuwa ni Ile ile ya; www.esowane.blogspot.com

Imetolewa na;
EMMANUEL SOWANE
Blog Administrator
E-mail;sowane@ymail.com 

No comments:

Post a Comment