Home

Monday, September 5, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii: Rose Muhando Ndani Ya Rauka Tv Show



Pichani anaonekana Kanze Dena kushoto,Rose Muhando katikati pamoja na mwanadada Kambua ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha Rauka Tv Show kinachoendeshwa kila jumapili Asubuhi katika Television ya Citizen iliyoko Nairobi nchini Kenya. Rose Muhando alialikwa kama Mgeni Rasmi katika Kipindi cha Rauka Tv Show kinachoendeshwa na watangazaji wawili Kambua pamoja na Bro Njugushi.

No comments:

Post a Comment