Home

Monday, November 21, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii: Askofu Td Jakes Akiwa na Rais Nkurunzinza


Rais wa Burundi Mh Nkurunzinza akiwa na Askofu Td Jakes nchini Marekani mnamo mwezi wa Tisa Mwaka huu wa 2011.Rais Nkurunzinza pamoja na Majukumu yake lakini bado ni Mwanakwaya kanisani wakati mkewe Mrs Nkurunzinza yeye anatumika kama mtumishi wa Mungu kamili. Katika mazungumzo yao Rais Nkurunzinza alimuomba Askofu Jakes aiombee Burundi pamoja na Serikali yake. Askofu Td Jakes anatarajia Kufanya Ziara nchini Burundi.



No comments:

Post a Comment