Home

Monday, December 19, 2011

Ephraim Sekeleti Concert in Chicago

 
On 1st Jan 2012 the Son of Africa Ephraim sekeleti kama ajulikanavyo kwa wengi atakuwa akiungana na kanisa la Redeemed Christian Church of GOD la Nchini Marekani. katika IBADA ya Shukrani kwa ajili ya Kuanza Mwaka 2012,  ibada hiyo itaongozwa na Mchungaji wa kanisa hilo Pastor Wale Akinosun

Ephraim sekeleti

No comments:

Post a Comment