Home

Saturday, December 10, 2011

Ibada Ya Jubelei Ya Miaka 50 ya Uhuru ndani ya Calvary Temple Arusha


Jana Tarehe 9 Dec 2011 Tanzania ilitimiza Miaka 50 ya Uhuru, katika Jubilei hiyo kanisa la Carvary Temple Arusha liliandaa ibada maalumu ya kumshukuru Mungu na kuiombea nchi yetu ya Tanzania. Katika Ibada hiyo wazee waliokuwepo wakati wa uhuru 1961 walisimulia namna mambo yalivyokuwa huku Mass Choir ikiongoza Sifa na kuabudu. 
Pastor Philip David and Elieshi calling upon the name of the Lord for this special service
Mass Choir on Stage wakiimba Nyimbo ya Tenzi - Kijito cha Utakaso
Senior Pastor wa Calvary Temple Arusha Mch Kimaro na mkewe wakielezea tofauti ya namna kanisa lilivyokuwa miaka hiyo ya nyuma na lilivyo sasa
Jackson Bent and Mass choir on a worship song "Unatawala/Tunakuabudu"
Utukufu Kwa Mungu
Mzee Masawe na experience ya elimu, yeye alisoma bure hadi Sare za shule kulipiwa na serekali. He said education those days was supper and today it has dropped quality wise regardless of having lot of schools.
Brother Tola G, perfoming the song You are the Mighty God who has taken us this far
X - Member wa New Life Band Talented James Kimtuo Playing Keyboard
Believers Celebrating for Jubilee of 50 Years

No comments:

Post a Comment