Home

Wednesday, December 21, 2011

Mkhululi Bhebhe Mzimbabwe aliyefanya Vizuri kwenye Tambira Jehova - Joyous 15


Mkhululi Bhebhe
Mkhululi Bhebhe ni kijana raia wa Zimbabwe mwenye umri wa Miaka 27, kwa Muda mrefu amekuwa akijishughulisha na uimbaji akiwa nchini humo. Amepitia kwenye Music Academy nchini Zimbabwe kabla hajajiunga rasmi na Joyous Celebration April 2010. Mwezi May mwaka huu wa 2011 Mkhululi akiwa na Joyous alipata nafasi ya kuimba akiwa nchini mwake wakati Joyous walipofanya Ziara Jijini Bulawayo nchini Zimbabwe.

Wakati Mkhululini  raia wa Zimbabwe, Uche wa “My GOD is Good ooh ”yeye ni raia wa Nigeria. Angalia ufanisi wa Nkhululi Katika Joyous Celabration 15 hapa chini.


No comments:

Post a Comment