Home

Monday, January 2, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Mtumishi Mwingira Akiwa na Prophet TB Joshua

Pichani ni Mtumishi wa Mungu kutoka Tanzania na kiongozi wa Kanisa la Ephata akiwa na Nabii TB Joshua nchini Nigeria mwaka 2009. Mtumishi Mwingira alifanya Ziara nchini humo na kuhudhuria Africa Apostoric Forum iliyofanyika nchini humo.

No comments:

Post a Comment