Home

Monday, February 20, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Ndoa ya Mume wa Chibalonza na Mkewe mpya aitwaye Magreth


Pichani ni siku ya ndoa kati aliyekuwa mume muimbaji maarufu wa nyimbo za injili marehemu Angela chibalonza Apostle Elisha Muliri(kushoto mwenye kofia) alipokuwa  akifunga ndoa na mkewe mpenzi Magreth(katikati) mwaka jana nchini Kenya. Apostle Murili ambaye ni kiongozi wa huduma ya Shekinah International church yenye makao makuu yake jijini Nairobi.



No comments:

Post a Comment