Home

Monday, February 6, 2012

PichaYetu Jumatatu Hii: Danny Mayaula`s Wedding

Pichani anaonekana Mtumishi wa Mungu Daniel Mayaula kutoka The Whispers Band ambaye alilead na kupiga Drumz kwenye wimbo wa “Nina Baba yangu asiyeshindwa Kamwe” akiwa na Mkewe siku ya ndoa yao iliyofungwa tarehe 4/12/2011 katika kanisa la Victory Christian centre.


Nina Baba yangu asiyeshindwa kamwe ,
Mwamba imara asiyeshindwa kamwe nina Baba…….

No comments:

Post a Comment