Home

Monday, March 5, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Rais Kikwete akisalimiana na Askofu Augustine Mpemba

Bishop Augustine Mpemba ambaye ni mmiliki wa KWA NEEMA FM ya jijini Mwanza, akiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 4/02/2012 wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya chama cha Mapinduzi yaliyofanyika Kitaifa jijini Mwanza.Askofu Mpemba alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa katika maadhimisho hayo

No comments:

Post a Comment