Home

Monday, May 7, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Praise Team ya Kanisa la EFATHA



Pichani ni Praise Team ya Kanisa la EFATHA lililoko maeneo ya Mwenge jijini Dar es salaam linaongozwa na mtume na nabii Josephat Mwingira.Praise team hii inasadikika kuwa ndiyo praise team yenye watu wengi kuliko praise Team za makanisa mengine nchini Tanzania, ina zaidi ya waimbaji arobaini  wanaosimama na kuimba madhabahuni.

2 comments:

  1. Mungu awabariki sana hawa waimbaji,si kwamba ni praise team ya watu zaidi ya arobaini bali ni ya watu miamoja na themanini na wanaendelea kuongezeka

    ReplyDelete
  2. ya ni kweli anonymouse harafu uimbaji wao sio sili watu wakiwa wanaimba Mass kwaya basi wengine wenye mapepo utakuta wanaanguka wenyewe mungu awalinde sana amin.

    ReplyDelete