Home

Sunday, June 3, 2012

Kings Choirs LIVE Recording at Calvary Temple Morogoro jioni Hii


Kings Choir ni kwaya Maarufu sana jijini Morogoro iliyoko chini ya Pastor Zephania Ryoba wa Kanisa la Calvary Assemblies of GOD lililoko karibu na round About ya SUA  mjini Morogoro.Katika jioni ya leo Kwaya hiyo chini ya Kampuni ya KIUMBE VIDEO PRODUCTION inaendelea na LIVE RECORDING ambayo mpaka kufikia muda huu ukumbi wa kanisa hilo umesheheni watu kutoka kila kona ya mji huu pamoja na wanafunzi kutoka SUA,MZUMBE,Jordan Univ na vyuo vingine vilivyoka mkoani hapa.

Pamoja na Tatizo la umeme kuukumba sehemu kubwa ya  mji wa Morogoro, kwa msaada wa Mungu na maombi umeme umerudi na zoezi linaendelea.

Kings Choir ikiwa Backstage
Kings Choir tayari kwa kukaa mbele ya Kamera za Kiumbe Production

Make up zikifanyika Backstage

Sehemu ya umati uliopo kwa ajira ya kumfanyia Mungu Ibada
Wapiga vyombo wakiwajibika

Upendo Ryoba akiimba wimbo uliogusa hisia za wengi uitwao Umeinuliwa Jehova

Tumaini Ryoba kiongozi wa Kings Choir akiongoza sifa

Kings Choir wakimsifu Mungu katika Live Recording

No comments:

Post a Comment