Home

Thursday, July 5, 2012

Hillsong waachia Video za Album yao mpya.


Mapema mwaka huu Hosanna Inc ilikuja na News juu ya Hillsong kuwa katika maandalizi ya kutoa album yao mpya walioipa jina la Cornerstone iliyorekodiwa mbele ya maelfu ya watu huko Sydney Australia. Album hii imeaingia sokoni rasmi juzi(3 July 2012) na imekuwa ni album yao ya 21 katika safari ndefu ya muziki ndani ya kundi hilo maarufu ulimwenguni lenye makazi yake Barani Australia.Hillsong wameanza na kutoa Video mbili ambazo ni "Cornerstone" na "Hope of the World"

Unaweza iangalia Cornerstone hapa chini


No comments:

Post a Comment