Home

Monday, September 3, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii:Injili Mitaa ya Posta

Mchungaji Paul Stephen akihubiri mitaa ya Posta jijini Dar es Salaam, injili za aina hii zilikuwa maarufu sana miaka ya nyuma japokuwa kwa sasa kuna hata baadhi ya wapendwa zinaleta Kwikwi ndani yao.

No comments:

Post a Comment