Home

Tuesday, October 23, 2012

Kongamano la Binti na Ufahamu bora lafana


Rose Mushi(Greda)

Jumapili iliyopita katika kanisa la Living Water Kawe Makuti kulimalizika Kongamano maalumu la mabinti lililokuwa na theme isemayo binti na ufahamu Bora.Kuna mengi yalinenwa kutoka kwa wanenaji Mama Lilian Ndegi,Rose Mushi(Greda) pamoja na Mch Mhamba. 

Katika kongamano hilo lililohudumiwa na Praise team ya kanisani hapo,baada ya mabinti kupatiwa ufahamu sahihi pia kulifanyika maonyesho ya mavazi ambayo ni  moja kati ya vitu ADIMU kuviona kanisani. Maonyesho hayo ya mavazi ya wapendwa yaliwakuna wengi huku mabinti mbalimbali walipanda kushow mitupio ya kipendwa into different occasionns.Mwaka mmoja uliopita kanisa la Agape Minitry chini ya Mtume Fernandes nalo liliwahi onyesha mavazi katika moja ya tafrija za kanisa.


Meza ya wanenaji

Praise team


Shangwe baada ya ufahamu Bora kuingia
 
Kisha Show ikaanza


Binti Sayuni


A modern One


Sayuni Swagg

Chezea Wapendwa wewe


No comments:

Post a Comment