Home

Monday, October 8, 2012

Rivers of Life wamaliza Huduma Mombasa



Kundi maarufu  la muziki wa injili lijulikanalo kama Rivers of Life kutoka Dar es salaam Pentecost Church(DPC), Jana jumapili 7-10.2012 walimaliza kufanya huduma katika kanisa la Mombasa Pentecost Church katika jiji la Mombasa nchini Kenya.Awali wakati kundi hilo linaondoka hapa nchini siku ya ijumaa iliyopita, mmoja kati ya waimbaji wa kundi hilo Minister John Lisu aliiambia HOSANNA INC kuwa wanaenda Mombasa kufanya huduma kwa siku mbili jumamosi na jumapili ya jana.

Baadhi ya wana Rivers of Life akiwemo Pastor Paul Safari,John Lisu na bale wakihudumu jijini Mombasa hiyo jana

No comments:

Post a Comment